1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.06.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S7 Juni 2018

Rais Pierre Nkurunziza amesema hatogombea tena urais baada ya muhula wake kumalizika 2020// Imam wa kishia nchini Irak Moqtada al-Sadr amewataka wafuasi wake wawe watulivu baada ya watu18 kuuwawa kwenye mlipuko katika ngome yake kuu huko mjini Baghdad// Kampuni kubwa la Ujerumani linalotengeneza madawa na kemikali la Bayer na kampuni ya Marekani ya Monsanto zimeungana.

https://p.dw.com/p/2z6LE