Kampeni za lala salama zinaendelea nchini Afrika ya kusini kuelekea uchaguzi// Wanasiasa wanaohasimiana nchini Sudan Kusini wameuchelewesha mchakato wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa// Kundi linalojiita dola la Kiislam linaweza kuwa limesambaratishwa katika eneo la Mashariki ya Kati lakini bara la Asia linatoa nafasi muafaka ya kuibuka upya kwa kundi hilo.