07.04.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 07.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

07.04.2021 Matangazo ya Jioni

SADC kukutana kuhusu Msumbiji/ TPSF yafurahishwa na mwanzo mpya wa Rais Samia Hassan/ Ethiopia imesema haitozuiwa kujaza maji kwenye bwawa lake kubwa la kuzalisha umeme la Mto Nile, licha ya mvutano unaoendelea kushuhudiwa na nchi zilizo upande wa chini wa mto huo/ Wanajeshi 32 Uturuki wafungwa maisha kwa jaribio la mapinduzi/ Kwanini ulimwengu umewaangusha wanawake kwa kiasi kikubwa?/

Sikiliza sauti 60:00