Marekani imerusha makombora kadhaa ya kasi katika moja ya kambi ya jeshi la anga nchini Syria// Rais wa Marekani Donald Trump alikutana na Rais wa China Xi Jinping kwa mazungumzo katika jimbo la Florida hapo jana// Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi Mohamed ametangaza vita dhidi ya wanamgambo wa Al-Shabaab, na kutangaza msamaha kwa watakaojisalimisha ndani ya siku 60.