1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.01.2022 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S7 Januari 2022

Kazakhstan inakabiliwa na maandamano mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa kwenye nchi hiyo tangu ilipopata uhuru wake miongo mitatu iliyopita+++Ujerumani imejikuta ikikabiliwa na mfululizo wa changamoto katika uhusiano wake na Urusi na China tangu ilipochukua uenyekiti wa kundi la mataifa saba yanayoongoza kiviwanda G7+++Leo Ijumaa Waziri mkuu wa Cambodia anafanya ziara yenye utata nchini Myanmar.

https://p.dw.com/p/45Fgv