Dunia imeshtushwa na vurugu zilizotokea katika majengo ya bunge mjini Washington, Marekani, baada ya wafiuasi wa rais wa nchi hiyo anayeondoka mamlakani, Donald Trump kuyavamia majengo hayo// Wakenya watahitajika kukaza mikanda zaidi ili kupata huduma za mitandaoni baada ya kodi ya huduma za dijitali kuanza kutekelezwa kuanzia tarehe mosi mwaka huu.