1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.01.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Januari 2016

Mwaka mmoja tangu ofisi za jarida la vikatuni " Charlie Hebdo" zishambuliwe na magaidi mjini Paris/ Serikali ya Kongo imelipokea pendekezo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa la kupunguza wanajeshi wa kikosi cha umoja huo nchini DRC/ Ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, MONUSCO, unasema hali imerejea kuwa ya utulivu kwenye eneo la Lubero katika Kivu ya Kaskazini

https://p.dw.com/p/1HZxh