Rais Donald Trump wa Marekani atatangaza baadaye hii leo kwamba Marekani inaitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel na itauhamishia ubalozi wake mjini humo, akivunja sera muda mrefu za Marekani na kuhatarisha pia hali ya utulivu katika eneo hilo la Mashariki ya Kati// Ile hali ya kwamba kifo huzusha hali ya kutafakari, si jambo lenye ukweli panapohusika na Yemen.