1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.11.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Novemba 2019

Serikali ya Yemen inayoungwa mkono na saudi Arabia na waasi wa kusini wanaotaka kujitenga wametia saini makubaliano jana kumaliza mvutano wa kuwania madaraka katika eneo la kusini ya Yemen// Chama cha Democratic kimeibuka na ushindi katika uchaguzi wa gavana katika jimbo la Kentucky// DR Congo- ADF waliwauwa watu kumi katika mji mdogo wa Kokola ulio kilomita arubaini kaskazini mwa mji wa Beni.

https://p.dw.com/p/3SZ1K