1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.11.2019 Matangazo ya Jioni

TSA / S08S6 Novemba 2019

Serikali ya Tanzania leo imeyashutumu baadhi ya mashirika ya kimataifa kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu mpango wa kuwarejesha wakimbizi wa Burundi/ Iraq- Maafisa wa usalama wamerusha mabomu ya kutoa machozi na risasi za moto hewani kuwatawanya waandamanaji katika mji mkuu wa Baghdad/ Uingereza- Boris Johnson amemlinganisha mpinzani wake mkuu na muimla wa Usovieti Joseph Stalin.

https://p.dw.com/p/3SaPL