1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.11.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Novemba 2018

Wamarekani leo Novemba 6, watapiga kura katika uchaguzi wa katikati ya muhula ambao utasaidia kutowa mwelekeo wa hatma ya miaka miwili iliyosalia ya uongozi wa Rais Donald Trump katika muhula wake wa kwanza// Kenya- Mitihani ya Kitaifa ya kidato cha nne imeingia siku yake ya pili hii leohuku ripoti kuhusu visa vya wanafunzi kupata mimba za mapema mkoani Pwani ikishangaza taifa zima nchini humo.

https://p.dw.com/p/37jzA