1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.10.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S6 Oktoba 2020

Tanzania ipo katika maandalizi, ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28// Rais Donald Trump anaandamwa na mzozo wa kupoteza uaminifu unaofanana na shakashaka zilizougubika ukweli kuhusu afya yake// Urusi ilijiingiza kikamilifu kwenye vita vya Syria miaka mitano iliyopita, ikisema ilikuwa inapambana na ugaidi.

https://p.dw.com/p/3jUIo