Umoja wa Mataifa umesifia ushindi wa tuzo ya Amani ya Nobel ambao umekabidhiwa kundi linaloendeleza kampeni ya kupinga matumizi ya silaha za nyuklia ICAN// Serikali ya Uhispania imesema ushirikiano baina yake na jimbo la catalonia umevunjika// Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania hii leo kimeitisha mkutano na waandishi wa habari.