1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.09.2021 Matangazo ya Jioni

6 Septemba 2021

Jaji Luvanda ajitoa katika kesi ya CHADEMA/ Mkuu wa vikosi maalumu vya Guinea ameahidi kuundwa kwa serikali ya muungano wa kitaifa / Taliban kutangaza serikali ya "mpito" muda wote, yataka kutambuliwa/ Kampuni 6 za kichina matatani DRC/ Harrison Mwilima anafanya ziara katika maeneo mbalimbali ya Ujerumani kufuatilia maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu

https://p.dw.com/p/3zzbW