1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.07.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S6 Julai 2018

Kiwingu cha suala la hifadhi kwa wakimbizi linaendelea kuzifunika siasa za nchi za Ulaya, ikiwemo Ujerumani// Italia imekabidhi jukumu la shughuli za uokozi wahamiaji wanaovuuka Bahari ya Mediterenia kuwania kuingia Ulaya kwa taifa la Libya// Mawaziri wa mambo ya nchi za nje kutoka mataifa matano makubwa duniani wanakutana mjini Vienna.

https://p.dw.com/p/30wG1