1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.07.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S6 Julai 2018

Mazungumzo ya kuyanusuru makubaliano kuhusu mradi wa nyuklia wa Iran yamefunguliwa mjini Vienna// Vita vya kibiashara kati ya Marekani na China inaonekana kuendelea kupamba moto// Baraza la mawaziri la Uingereza limekutana leo kuujadili mpango mpya wa nchi hiyo wa kujiondoa Umoja wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/30y5K