06.07.2018 Matangazo ya asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.07.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

06.07.2018 Matangazo ya asubuhi

Nchini Uhispania wahamiaji ambao hawajaandikishwa rasmi wanaishi maisha magumu kiasi cha wao kukiri kwamba Ulaya sio Paradiso kama walivyofikiria// Watetezi wa mazingira barani Afrika wanafanya juhudi kubwa za kukabiliana na mifuko ya plastiki.

Sikiliza sauti 51:59