1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.06.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Juni 2019

Waandamanaji nchini Sudan wamekataa ombi la kufanya mazungumzo lililotolewa na baraza la mpito la kijeshi// Wawakilishi kutoka mataifa kadhaa hii leo wanakumbuka kwa maonyesho makubwa, kuwasili kwa majeshi ya washirika katika fukwe za Normandy Kaskazini mwa Ufaransa miaka 75 iliyopita//Tanzania, Taasisi na Jumuiya za Kiislamu zimemuandikia barua Rais John Magufuli.

https://p.dw.com/p/3Jwvs