1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.06.2018 Matangazo ya Asubuhi

SK2 / S02S6 Juni 2018

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni:: Mkutano wa kilele kati ya Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini utaendelea huku kukiweko mashaka na wasiwasi katika upande wa washirika wa kikanda wa Marekani/ Human Rights Watch: Maafisa nchini Kenya na polisi waliwatisha wanaharakati ambao wanatafuta haki kutokana na mauaji yaliyofanywa na polisi pamoja na dhulma nyingine wakati wa uchaguzi mkuu 2017

https://p.dw.com/p/2z0H9