Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni:Rais wa Marekani Donald Trump amesema Iran inaweza tu kuchagua ama kukubali mpango wake wa amani / Licha ya pingamizi na tahadhari za wadau, ikiwemo gavana wa Benki Kuu ya Uganda, bunge limepitisha muswada wa kulinda utaifa