1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.05.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S6 Mei 2022

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa mataifa limesema majeshi ya Urusi yanaiba nafaka nchini Ukraine ambazo zimeshindwa kusafirishwa kupitia bandari za nchi hiyo kufuatia uvamizi wa Urusi+++Amnesty: Urusi imefanya uhalifu wa kivita, Ukraine+++Mahakama Kuu ya Arusha nchini Tanzania imemuachia huru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili.

https://p.dw.com/p/4Awn0