Maambukizi ya virusi vya Corona Urusi yaongezeka kwa kasi/ Ujerumani kujadili kupunguza vikwazo vya virusi vya corona/ Leo ni siku 100 tangu COVID-19 kuthibitishwa Ujerumani/ Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania NEC imesema imekamilisha zoezi la uhakiki na uandikishaji wapiga kura katika mikoa yote/ Kenya: Bei ya unga huenda ikapanda