1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.05.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S6 Mei 2016

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo anatunukiwa tuzo ya Charlemagne// Maafisa wa uokoaji kwenye mkasa wa kuporomoka jengo la Ghorofa sita wiki moja iliyopita katika mtaa wa huruma mjini Nairobi wanaendelea kuwatafuta manusura// Kongamano la 29 la Kiswahili limeanza hivi leo katika mji wa kusini wa hapa Ujerumani, Bayreuth.

https://p.dw.com/p/1IjMb