Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amesema ataunda kamati ya wataalamu watakaochambua kwa kina ugonjwa wa Covid-19 na kuishauri Serikali jambo la kufanya> Mahojiano/ Baraza la waandishi habari Kenya lalaani matukio ya dhulma/ Vita vya kikabila huko Darfur vyazusha hofu kubwa/ Iran na Marekani kujadili mkataba wa nyuklia Vienna