Tanzania: Mwenyekiti wa baraza la wazee la Chadema bado anashikiliwa na polisi/ Ripoti ya uchunguzi juu ya unyanyasaji wa kingono nchini Ufaransa: Tulitaka kusikia kutoka kanda ya afrika mapadri wenyewe wanasemaje?/ Rais wa Tanzania ameleekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa ya nishati ya mafuta/ Viongozi wa EU kujadili ulinzi,China na Marekani