Serikali ya Uhispania imekataa miito ya mazungumzo kati yake na mamlaka ya jimbo la Catalonia// Mataifa ya Ulaya yanawarejesha nyumbani raia wengi wa Afghanistan wanaoomba hifadhi kwenye nchi hizo// Aliyekuwa mchezaji nyota wa Timu ya taifa ya Zanzibar na Tanzania Abdul Majham, amefariki dunia.