Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdul Aziz ameikosoa vikali Iran, katika ziara yake ya kwanza nchini Urusi// Kwa mara nyingine mwandishi nguli wa vitabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati Ngugi wa Thiong'o ameshindwa kupata tuzo ya Nobel ya mwandishi bora wa vitabu// Leo ni siku ya walimu Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ulimwenguni kote.