Rais wa Tanzania John Magufuli amefichua kuwa anapokea mshahara wa shilingi milioni 9 za Kitanzania kwa mwezi ambazo ni sawa na dola elfu nne, hivyo kumfanya kuwa miongoni mwa viongozi wachache wa Afrika wanaopokea mishahara midogo// Shirika la Afya Duniani, WHO likizindua mpango madhubuti wa kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu kwa asilimia 90 ifikapo mwaka 2030.