1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.10.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S5 Oktoba 2016

Wawakilishi wa kutoka mataifa 75 na mashirika 25 ya kimataifa wanakutana mjini Brussels hii leo// Bodi ya wadhamini wa chama cha wananchi CUF wamefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania// Leo ni siku ya kimataifa ya walimu duniani// Serikali ya Tanzania imesema kuanzia sasa inaanzisha mfumo mpya utakaohakikisha kwamba unawabana raia wake kwenda katika nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani.

https://p.dw.com/p/2QuFM