1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.09.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Septemba 2018

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameonya kuwa mashambulizi ya makombora na mabomu katika mkoa wa mwisho unaloshikiliwa na waasi wa Idlib nchini Syria yanaweza kusababisha maafa makubwa// Zaidi ya mtu mmoja kati ya watu wazima wanne kote duniani wako katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile kisukari, magonjwa ya moyo, matatizo ya akili na saratani kwa sababu hawafanyi mazoezi ya kutosha.

https://p.dw.com/p/34LXR