05.09.2018 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

05.09.2018 Matangazo ya Asubuhi

Mkutano wa siku mbili wa kilele kati ya China na Afrika umemalizika jana mjini Beijing, baada ya majadiliano marefu ya marais na viongozi wa serikali huku Rais wa Senegal Macky Sall akiteuliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa ushirikiano wa Afrika na China kwa kipindi cha miaka mitatu akichukua nafasi ya Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa.

Sikiliza sauti 51:59