1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.08.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Agosti 2022

Kampeni za uchaguzi Kenya zaingia dakika za lala salama+++Wataalamu wa Umoja wa Mataifa waitia hatiani Rwanda kushirikiana na M23+++China imetangaza kumuwekea vikwazo spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi kufuatia ziara yake ya Taiwan mwanzoni mwa wiki+++Erdogan kukutana tena na Putin kuhusu Ukraine

https://p.dw.com/p/4FArr