Juhudi za uokozi zinaendelea mjini Beirut / Bobi Wine ameishutumu serikali ya Uganda kwa kushindwa kuwapa haki sawa wanasiasa wa upinzani katika vyombo vya habari/ Rais wa Zimbabwe ametoa wito wa umoja wakati akikabiliana na watu anaowatuhumu kuhujumu juhudi zake za kufufua uchumi wa nchi hiyo/ Amerika Kusini yaipiku Ulaya kwa vifo vya COVID-19