Lebanon yaanzisha uchunguzi kuhusu mkasa wa Beirut/ Tanzania: Chama cha ACT Wazalendo kimemchagua rasmi Bernard Membe kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu/ Kenya: Mahakama ya ajira kuamuru kuwa ni hatia kwa mwajiri kuwafukuza kazi wafanyakazi bila notisi/ Sakata la ujenzi wa bwawa la kuzalisha nishati ya umeme linalojengwa na Ethiopia kwenye mto Nile limechukua sura mpya