Kenya na Tanzania zimetia saini makubaliano kadhaa/ Hali ya Covid-19 bado ni tete India/ Tanzania yasitisha safari za kuelekea India/ Muda wa mwisho wa kumtaka waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuunda serikali umemalizika bila ya hatua hiyo kufikiwa/ Misri na Uturuki kufanya mazungumzo leoMisri na Uturuki kufanya mazungumzo leo