1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.05.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S5 Mei 2020

Idadi jumla ya watu waliokufa kutokana na virusi vya Corona duniani imefikia zaidi ya robo milioni hii leo Jumanne// Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema kinaonekana kugawika baada ya wabunge wake kadhaa kukaidi agizo la chama hicho kususia vikao vya bunge// Congo ni nchi ya kwanza barani Afrika na ya pili ulimwenguni baada ya Syria kwa idadi kubwa ya wakimbizi wa ndani. 

https://p.dw.com/p/3bnLt