1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.05.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S5 Mei 2020

Jana Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen, aliongoza mkutano wa harambee kusaka jumla ya euro bilioni 7 na nusu// Maelfu ya wahamiaji waliokata tamaa wako katika hali ya sintofahamu na katika hatari zaidi ya kufa kwa kukosa chakula, maji au malazi katika majangwa na bahari// Leo dunia inaadhimisha siku ya wakunga.

https://p.dw.com/p/3bmnD