1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.04.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S5 Aprili 2017

Zimesalia siku 126 kwa uchaguzi mkuu kuandaliwa nchini Kenya/ Zaidi ya raia 3,000 wa Sudan Kusini wamelazimika kukimbilia nchi jirani ya Uganda baada ya wanajeshi wa serikali kushambulia mji wa mpakani wa Pajok na kuwaua watu kadhaa wakiwemo wanawake na watoto/ Mwaka mmoja baada ya makubaliano kati ya Uturuki na Umoja wa Ulaya kuanza kutekelezwa, maelfu ya wakimbizi bado wamekwama nchini Ugiriki.

https://p.dw.com/p/2ahp8