1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.03.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S5 Machi 2021

Tanzania: Upinzani wataka COVID kuwekwa wazi// Shughuli ya kutoa chanjo ya COVID-19 imeanza rasmi nchini Kenya ambapo kundi la kwanza kuchanjwa ni wahudumu wa afya katika kaunti zote 47 za nchi hiyo// Kwa mara ya kwanza tangu kufanyika kwa uchaguzi nchini Uganda, Rais Yoweri Museveni amekutana na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani// Papa Francis ahimiza jamii za Iraq kuvumiliana.

https://p.dw.com/p/3qH3e