1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.11.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Novemba 2019

Tanzania: Charles Kichere ameapishwa kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali> Mahojiano/ Viongozi wa ASEAN kuafikiana juu ya mkataba wa RCEP/ Maandamano makubwa DDR ya Novemba 4, 1989/ Miaka 30 tangu Ukuta wa Berlin ulipoanguka, hali ikoje na jinsi hali inavyotokota katika chama cha Christian Democratic Union CDU ni miongoni ma mada zilizogonga vichwa vya habari magazetini.Magezetini/

https://p.dw.com/p/3SR3E