Tanzania: Vyama vya upinzani vimelalamika juu ya kile wanachokiita mchezo mchafu wanaofanyiwa baadhi ya wagombea wao/ Jaji Mkuu nchini Kenya ameukemea muhimili wa serikali kwa kupunguza bajeti kwenye idara ya mahakama/ Hali ya wasiwasi miongoni mwa waandishi wa habari na wahudumu wa afya katika Mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa Congo/ Lebanon: Waandamanaji wamezifunga njia kadhaa mjini Beirut