1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.11.2015 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S4 Novemba 2015

Tansania: Mvua kubwa wilayani Kishapu katika mkoa wa Shinyanga kusababisha maji kujaa katika nyumba na kuharibu mali ikiwa ni pamoja na hifadhi ya chakula// Sheria ya malezi ya kimataifa nchini Kongo// Ripoti ya shirika la UNESCO imebaini kwamba katika nchi nyingi za dunia hakuna usawa katika suala la elimu baina ya watoto wa kike na kiume

https://p.dw.com/p/1GzHX