1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.10.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Oktoba 2021

Nyaraka za Pandora: Wanasiasa wakubwa watajwa kukwepa kulipa kodi/ Pandora Papers: Familia ya Kenyatta yaguswa kashfa ya ulimbikizaji mali ughaibuni/ Tume ya Uchaguzi ya Kenya, IEBC, hii leo imezindua zoezi la kitaifa la usajili wa wapiga kura/ Abiy Ahmed aapishwa kwa muhula mpya kuongoza Ethiopia/ Merkel awaomba wanasiasa kuweka pembeni tofauti zao

https://p.dw.com/p/41Eg7