1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.09.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Septemba 2019

Nigeria yamwita balozi wa Afrika Kusini kuhusu mashambulizi/ Wabunge Uingereza wapiga kura kuzuia Brexit isiyo na makubaliano/ Tanzania: Vitendo vya ukatili hasa ubakaji wa Watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitano pamoja na vikongwe yaelezwa kuzidi kuongezeka/ Kenya: Kaunti ya Uasin Gishu imekuwa ya kwanza kupitisha mswada wa kubadilisha katiba

https://p.dw.com/p/3OzqC