IIi kupata ufanisi zaidi kuelekea mageuzi ya kikatiba na katika sekta ya usalama, Somalia inahitaji mdahalo mpya na ushirikiano miongoni mwa wadau wote/ Serikali ya Yemen inautuhumu Umoja wa falme za Kiarabu au Emirati kuwaaunga mkono kijeshi waasi wa kusini/ Serikali ya Nigeria imejitokeza wazi kuishutumu Iran kulifadhili vuguvugu la Kiislamu nchini humo