1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.09.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Septemba 2018

Mkutano wa kilele kati ya China na Afrika- Wanafunzi  kutoka Afrika Mashariki wanaosoma China kuhusu mfumo wa maingiliano yao katika jamii ya Wachina/ Wafadhili waahidi dola bilioni 2.7 kwa eneo la ziwa Chad/ Ujerumani: Watu 65,000 walifurika jana usiku katika tamasha la kupinga matukio ya kibaguzi mjini Chemnitz/ DRC: Mahakama ya Kikatiba imeuidhinisha uamuzi unaomzuwia Bemba kuwania urais

https://p.dw.com/p/34Gpa