1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.09.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S4 Septemba 2017

Maafisa wa ngazi ya juu wa Uturuki wameyakosoa matamshi kuhusu Uturuki yaliyotolewa na Kansela Merkel na mpinzani wake Schulz wakati wa mdahalo wao wa televisheni/ Maoni: Mdahalo ambao haukuwa/ Kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Felix Tshisekedi, amerejea nchini humo siku baada ya ziara nchi za Ulaya

https://p.dw.com/p/2jLFy