1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2019- Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S4 Agosti 2019

Watu 30 wauawa Marekani kufuatia mashambulizi mawili tofauti ya risasi.// Wakuu wa baraza la kijeshi linalotawalaa Sudan pamoja na wakuu wa vuguvugu la waandamanaji, wamesaini makubaliano ya kikatiba yatakayowezesha utawala wa kiraia kwa mpito.// Majeshi ya majini ya Iran yameikamata meli ya kigeni ya mafuta katika ghuba ya Persia.

https://p.dw.com/p/3NKaQ