1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2018: Matangazo ya Jioni

Lilian Mtono
4 Agosti 2018

Uturuki kuzuia mali za maafisa wa Marekani, ili kulipiza kisasi vikwazo dhidi ya mawaziri wake wawili, Korea Kaskazini yaikosoa Marekani kwa hatua zake katika suala la kuachana na silaha za nyuklia, Na wafuasi wa upinzani nchini Zimbabwe wafunguliwa mashitaka.

https://p.dw.com/p/32czO