1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.06.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S4 Juni 2021

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekiri kuwa bado anakabiliwa na changamoto kubwa kupambana na ufisadi pamoja na kuwepo kwa hali shwari ya usalama+++Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sasa inakabiliwa na wimbi la tatu la janga la Covid-19.+++Kenya- Nakuru yapandishwa hadhi na kuwa jiji, lakini nini maana yake?+++Hong Kong yazuia kumbukumbu ya Tiananmen.

https://p.dw.com/p/3uSCH